Nenda kwa yaliyomo

Mto Irunguni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 11:24, 9 Oktoba 2018 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Mto Irunguni unapatikana katika kaunti ya Kitui, mashariki mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]