Emilio G. Segrè : Tofauti kati ya masahihisho
Mandhari
Content deleted Content added
{{defaultsort}} na mabadilisho ya jamii |
+jamii |
||
Mstari 4: | Mstari 4: | ||
{{DEFAULTSORT:Segre, Emilio}} |
{{DEFAULTSORT:Segre, Emilio}} |
||
[[Category:Waliozaliwa 1905]] |
|||
[[Category:Waliofariki 1989]] |
|||
[[Category:Wanasayansi wa Italia]] |
[[Category:Wanasayansi wa Italia]] |
||
[[Category:Wanasayansi wa Marekani]] |
[[Category:Wanasayansi wa Marekani]] |
Pitio la 15:20, 18 Machi 2007
Emilio Segre (1 Februari, 1905 – 22 Aprili, 1989) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Italia. Mwaka wa 1938 alihamia Marekani. Hasa alifanya utafiti wa fizikia ya kiini. Mwaka wa 1959, pamoja na Owen Chamberlain alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |