Nenda kwa yaliyomo

Emilio G. Segrè : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 43: Mstari 43:
[[sl:Emilio Gino Segrè]]
[[sl:Emilio Gino Segrè]]
[[sv:Emilio Segrè]]
[[sv:Emilio Segrè]]
[[zh:埃米利奥·G·塞格雷]]
[[zh:埃米利奥·吉诺·塞格雷]]

Pitio la 12:34, 16 Januari 2009

Emilio Segre (1 Februari, 190522 Aprili, 1989) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Italia. Mwaka wa 1938 alihamia Marekani. Hasa alifanya utafiti wa fizikia ya kiini. 1937 alitambua Tekineti kama elementi sintetiki ya kwanza iliyopatikana katika historia. Mwaka wa 1959, pamoja na Owen Chamberlain alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.