Kcse Bembea Ya Maisha QNS

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 15

BEMBEA YA MAISHA

POSSIBLE KCSE QUESTIONS

Maswali Matarajiwa Katika Mtihani


Mkuu wa KCSE

SERIES 1

For Marking Schemes Contact


Mr Isaboke 0746-222-000 / 0742-999-000

MWALIMU CONSULTANCY
[email protected]

MASWALI
1. Mwandishi wa Bembea ya Maisha ameipa uzito mbinu rejeshi. Eleza.
(alama 20)

2. Soma dondoo hili na ujibu maswali.

"Mtu anaishi na wanawe ambao wiki nzima anawaona wakiwa usingizini;


wamelala fofofo.. .Nyumba ni ya yaya."

i. Weka maneno haya kwenye muktadha wake. (alama 4)


ii. Fafanua maudhui yanayojitokeza kwenye dondoo. (alama 2)
iii. Fafanua manufaa saba ya mazingira ya dondoo hili. (alama 14)

3. Soma dondoo hili kisha ujibu maswali.

‘Maisha yetu ni mfano wa mbegu iliyopandwa. Mbegu hiyo haina budi


kuoza kwanza ndipo ioteshe mche upendezao. Mche huo wa asili ya
mbegu iliyooza, hatimaye hutoa zao la mbegu nyingi ajabu. Ukitazama
vizuri, mbegu ile haifi bali huchukua mkondo mwingine wa maisha.
Huchukua umbo)ipya lipendezalo hasa ikiwa itakuwa imeangukia ardhi
nzuri.. -Sasa rudini msaidie kuzalisha mbegu nyingi nzuri. Nyinyi
mmebahatika kuwa mbegu nzuri istahiliyo kupandwa."

Hakiki ukweli wa maneno haya kwa kurejelea Bunju,Neema na wahudumu


hospitalini. (alama 20)

FOR KCSE RESOURCES &MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 2
[email protected]

4. Bembea ya Maisha ni tamthilia inayohimiza mshikamano wa kijamii. Jadili.


(alama 20)

5. Mwanamke anaonyesha maumbo mbalimbali, mazuri na mabaya. Jadili


(alama 20)

6. Elimu ni mafundisho aali yatolewayo darasani au katika jamii. Jadili kwa


kurejelea tamthilia ya Bembea ya Maisha (alama 20)

7. “Imani na itikadi huthaminiwa sana na jamii ya watu”. Jadili ukweli wa


kauli hii kwa kurejelea tamthilia ya bembea ya Maisha (alama 20)

8. Mwandishi wa tamthilia hii ameshughulia sana suala la Mabadiliko katika


jamii. Fafanua (alama 20)

9. Eleza jinsi mwandishi watamthilia ya Bembea ya maisha alivyofanikiwa


kutumia ishara katika kazi yake (alama 20)

10. Anwani bembea ya Maisha inaafiki tamthiliya hii. Jadili kwa kutoa hoja
ishirini (alama 20)

This is a Property of Mwalimu Consultancy Ltd.


Mr Isaboke – 0746-222-000. Regards.

FOR KCSE RESOURCES &MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 3
[email protected]
11. Mila na desturi katika jamii zina umuhimu mkubwa kwa kuwa hutumika
kama gundi inayoshikanisha jamii. Vilevile husaidia jamii kuwa na
mwelekeo chanya na wa kimaendeleo. Hata hivyo, baadhi ya mila na desuri
zinaweza kuzua migogoro katika jamii. (alama 20)

12. A. Soma dondoo lifuatalo kisha ujibu maswali.

"La! Kila mbegu ipandwayo haina budi kuzaa na izaapo mazao yake
huvunwa. Mtu huitakasa sahani akijua itamfaa tena. Kinacholelewa
hakina budi kulea."

i. Fafanua muktadha wa mancno haya. (alama 4)


ii. ii. Taja mbinu nne zilizotumika hapa. (alama 8)
iii. iii. Eleza sifa nne za mnenaji (alama 8)

13. A. Soma dondoo kisha ujibu maswali.

"Kumbuka, mrina haogopi nyuki. Marehemu mamangu alizoea kutuambia

kuwa nguvu hazimwishi mwanadamu wala hazipotei bure —

humalizwa tu na mabuu. Mwanangu, usifanye hofu. Nikujuavyo mimi,

hukuingia katika bahari si yako. Wala hakuna refu lisilokuwa na ncha.

yote yana kikomo ati! Ipo siku haya yote yatapita. Mkulima hodari libasi

yake huwa imechakaa na kuchoka lakini moyoni anabaki safl kama

theluji kwa kutosheka na tija ya sulubu zake. Huwezi kumlinganisha na

mkulima wa nguo safi zilizopigwa pasi zikanyooka."

FOR KCSE RESOURCES &MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 4
[email protected]
i. Yaweke maneno haya katika muktadha wake. (alama 4)
ii. Fafanua sifa moja ya mnenaji inayojitokeza katika dondoo hili (alama 2)
iii. Fafanua mbinu zilizotumika (alama 8).
iv. Onyesha kuwa msemewa hakuingia bahari ambayo si yake (alama 6)

14. Soma dondoo kisha ujibu maswali.

Eti alama! My foot! Eti ameshuka nafasi darasani lakini akapandisha


alama...

i. Eleza maudhui yanayojitokeza katika dondoo hili. (alama 2)

ii. Jadili sifa tano za mnenaji. (alama 10)

iii,; Tathmini umuhimu wa mnenaji katika tamthilia. (alama 8)

15. Soma dondoo kisha ujibu maswali.

Ukilazwa tayari unakuwa umeonja seli,: Hata wahudumu wenyewe hawana


mlahaka mwema. Amri na vitisho kama askari. Unashindwa kama
UUguze moyo ama ugonjwa. Katika wodi hewa iliyojaa harufu ya dawa
imezagaa, vitanda vimesalimu amri mpaka shiti zikagura. Yaani hali
nzima haikupi matumaini ya kutoka ukiwa bora. Matumaini
yanadidimia. Tumaini lako unaliweka katika sala.

i: Changanua mtindo wa dondoo kwa kurejelea hoja tano. (alama 10)

ii. Fafanua namna mandhari ya dondoo hili yalivyochangia usukaji wa tamthilia.

(alama 10)

FOR KCSE RESOURCES &MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 5
[email protected]
16. Soma dondoo lifuatalo kisha ujibu maswali.

‘...wanajikuta katika vuta n'kuvute inayochochewa na mitazamo ya


kitamaduni, uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika
binafsi. Baina yao kuna mitikiso inayotishia familia, ndoa na
mahusiano ya kijamii. Kuna shutma, shaka, tuhuma na mivutano.
Lakini pia kuna hongera, imani, ushirikiano, upendo, kutanabahi, na
mshikamano. Katika huu mseto wa mambo ipo sauti imara.. ."

i. Fafanua muktadha wa maneno haya. (alama 4)


ii. Hakiki mtindo wa dondoo hili. (alama 2)
iii. Fafanua mitikiso saba inayotishia mahusiano ya kijamii ya tamthilia hii.
(alama 14)

FOR KCSE RESOURCES &MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 6
[email protected]

For Marking Schemes/Answers


Contact Mr Isaboke

FOR KCSE RESOURCES &MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 7
[email protected]

THE END

FOR KCSE RESOURCES &MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 8
[email protected]

SET BOOKS AVAILABLE WITH US


 Artist Of The Floating World
 Bembea Ya Maisha
 Mapambazuko Ya Machweo
 Nguu Za Jadi
 Fathers Of Nations
 Silent Songs And Other Stories
 A Parliament Of Owls
 The Samaritan

FOR KCSE RESOURCES &MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 9
[email protected]

OTHER SETBOOKS GUIDES AVAILABLE

SETBOOK GUIDE QUESTIONS VIDEOS CONTACT


&
ANSWERS
Bembea Ya Maisha
0746-222-000
  
Mapambazuko Ya
Machweo 0746-222-000
  
Nguu Za Jadi
0746-222-000
  

ENGLISH SETBOOKS
Fathers Of Nations
0746-222-000
  
Silent Songs And
Other Stories 0746-222-000
  
A Parliament Of
Owls 0746-222-000
  
The Samaritan
0746-222-000
  
Artist Of The
Floating World    0746-222-000

FOR KCSE RESOURCES &MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 10
[email protected]

FOR THE FOLLOWING;

 ONLINE TUITION

 REVISION NOTES

 SCHEMES OF WORK

 SETBOOKS VIDEOS

 TERMLY EXAMS

 QUICK REVISION KITS

 KCSE TOPICALS

 KCSE PREMOCKS

 TOP SCHOOLS PREMOCKS

 JOINT PREMOCKS

FOR KCSE RESOURCES &MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 11
[email protected]

 KCSE MOCKS

 TOP SCHOOLS MOCKS

 JOINT MOCKS

 KCSE POSTMOCKS

 TOP SCHOOLS PREDICTIONS

 KCSE PREDICTIONS

 KCSE REVEALED SETS

FOR KCSE RESOURCES &MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 12
[email protected]

CALL/TEXT/WHATSAPP

0746 222 000

FOR KCSE RESOURCES &MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 13
[email protected]

[email protected]

THIS IS A PRODUCT OF
MWALIMU
CONSULTANCY

POWERED BY MR
ISABOKE

FOR KCSE RESOURCES &MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 14
[email protected]

SUCCESS

REGARDS

FOR KCSE RESOURCES &MARKING SCHEMES CONTACT 0746 222 000


PAGE 15

You might also like