Kijito Cha Utakaso Ni Damu Ya Yesu
Kijito Cha Utakaso Ni Damu Ya Yesu
Kijito Cha Utakaso Ni Damu Ya Yesu
Jesus)
Bwana anao uwezo kunipa wokovu (The Lord has the authority to
grant me salvation)
Viumbe vipya naona, Damu ina nguvu (I see new beings, the Blood is
powerful)
Imeharibu uovu, uliyo dhulumu (It has destroyed the evil that harm)
Refrain:
Kijito cha utakaso (The cleansing river)
Nizame kuoshwa humo (That I may be immersed and cleansed there)
Namsifu Bwana kwa hiyo (I praise the Lord because)
Nimepata utakaso (I have received the cleansing) (Repeat)