Coxstore Profile picture
Jul 30 12 tweets 6 min read
🦅VITU VYA KUFANYA ILI KUOKOA MATUMIZI YA BANDO KWENYE SIMU!
📚📚📚

Kuisha haraka kwa internet Bundles imekuwa ni malalamiko ya wengi, lakini pia unaweza kufanya settings kadhaa kwenye simu yako kuokoa bundle kuisha haraka
Twende pamoja hapa chini 👇

#ElimikaWikiendi
Tuanze na simu za android then nitamalizia na iphone

ANDROID
1.Zima accounts syncing

Baadhi ya apps kama Facebook, Google Fit data, Google Play Movies, na Google Play Music ambazo mara nyingi wengi wetu hua hatuzitumii

#ElimikaWikiendi
na kila muda kama ziko on zinakua zinatumia data na
battery pia kufanya updates kati ya simu yako na server,namna ya kuzima nenda settings >accounts then Zima syncing ya apps ambazo muda mwingi hua huzitumii kama inavyoonekana hapo juu

#ElimikaWikiendi
2.ZUIA automatic updates ya apps

Moja kati ya settings inayokula internet bundle bila wewe kujua ni hii maana inakua inafanya updates mpaka kwenye apps ambazo hua huzitumii badilisha settings na uweke kwenye kutumia wi-fi kufanya updates

#ElimikaWikiendi
Kufanya hilo nenda Settings >>Auto-update apps na uweke option ya Auto-update apps over Wi-Fi only au wakati mwingine unaweza chagua Do not auto-update apps kama hutaki hata ku update app zako mara kwa mara ,il option nzuri ni ku update kupitia wi-fi

#ElimikaWikiendi
3.Tumia data compression kwenye Chrome

Hii ni inbuilt feature kwa watumiaji wa chrome ambayo inasaidia kupunguza traffics na kukuzuia kwenda kwenye malicious sites mfano hapa chini unaona kwa mwezi imeweza kuokoa 17% ya bando

#ElimikaWikiendi
Kufanya hivo bonyeza doti tatu za kulia juu ya chrome then settings >data server na baada ya hapo utaona kabisa matumizi yako ya bando yamepungua

#ElimikaWikiendi
4.Zuia background activity za apps

Kuna apps zingine hua zinatumia data hata kama simu huitumii au wakati una multitask,kikawaida background activity ni kawaida kwenye simu kwa mazingira mazuri ya app ila kama unataka kuokoa bando unaweza kuzuia

#ElimikaWikiendi
Kwa kwenda Settings >>Restrict data usage kwenye app ambayo unataka kuzuia ulaji wake wa bando

Sasa twende upande wa watumiaji wa iphone

#ElimikaWikiendi
1.Disable background app refresh

Hii inasaidia kuzuia activity zote ambazo hua zinafanyika hata wakati hutumii simu mfano feeds zote za kwenye social networks au WhatsApp,kupata feeds inakua ni mpaka uifungue app husika

#ElimikaWikiendi
2.Ruhusu low power mode

Ukiruhusu low power mode inasaidia kuzuia task zote ambazo hua zinafanyika background mfano syncing ya picha na videos kwenye icloud ambayo hutumia MB nyingi sana

#ElimikaWikiendi
3.3G/4G

Unaweza amua ku switch kwenda 3G kutoka 4G LTE ambayo hua inasaidia kupunguza matumizi ya bando

3G -hutumia mpaka 7mb kwa sekunde na wakati huo 4G hutumia mpaka 20-40mb kwa sekunde kama mtandao umetumika

#ElimikaWikiendi ✌️

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Coxstore

Coxstore Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @CoxstoreTz

Jul 28
🦅UMEWAHI KUJIULIZA NAMNA AMBAVYO FAST CHARGERS HUFANYA KAZI ?
📚📚📚

Hivi umewahi kujiuliza kwanini ukiwa unatumi fast charger ina charge simu kutoka 0%-80% kwa speed sana 🥺 then baada ya hapo inakua tu na speed ya kinyonga ? Image
Sio kila charger ni fast charger ,na sio kila smartphone ina support fast charging pia kuna simu zingine inaweza ikawa ina support fast charging lakini kufanya kazi ni mpaka option ya fast charging ui turn on Image
Kikawaida Fast chargers hua na uwezo mkubwa wa kuchaji simu yako kwa haraka zaidi kuliko charger za kawaida ambazo nyingi uwezo wake ni 4W,5W wakati huo pia fast chargers nyingi hua na watt 12,18,20,25,160
Read 7 tweets
Apr 11
🦅ZIJUE SECRET CODES ZINAZO SAIDIA KUTAMBUA KAMA SIMU NI FAKE AU LAA!

USSD codes-uninstructured supplementary service data(ussd) ni code za siri ambazo unaweza kuzitumia kugundua baadhi ya features ambazo zimefichwa kwenye simu,na mara nyingi simu ambazo sio genuine hua
zinakataa baadhi ya codes,codes hizi ni kwaajili ya watumiaji wa vifaa vyenye operating system ya android tu

1.*#*#7780#*#*
Hii ni kwaajili ya kufanya factory reset ,kufuta apps zote na accounts zote kwenye simu na kuirudisha simu kama mpya ulipokua unaitoa kwenye box
2.*#06#
Hii hua ni kwaajili ya kucheki IMEI namba ya device yako na hakikisha imei namba itakayotokea ipo sawa na imei namba ya kwenye box
Read 8 tweets
Apr 9
🦅VITU 6 VYA KUZINGATIA KABLA HUJANUNUA SIMU USED
⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️
Simu used huwavutia watu wengi sana,kutokana na bei zake kua cheap na kuwa na uwezo ule ule kama simu tu mpya!
Kabla hujafanya maamuzi ya kununua simu yeyote used zingatia haya 👇👇 Image
1.Epuka simu za wizi
Polisi kuna kesi nyingi sana za wizi wa simu,na asilimia kubwa ya watu wanaokamatwa sio walio iba ila wameuziwa simu za wizi, kuepuka hili hakikisha anaye kuuzia anakupatia risiti aliyonunulia au boksi la simu lenye IMEI namba za hio simu Image
Kama hana vyote nendeni mkaandikishane serikalini kuuziana simu
Read 8 tweets
Apr 8
🦅UMEIBIWA SIMU NA HUKUMBUKI IMEI NUMBER UFANYE NINI:
⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡
inaweza kutokea ukapoteza simu yako na ukawa hukumbuki IMEI number yako ,either risiti au boksi navyo umepoteza,ukiwa na IMEI number itawasaidia polisi kuweza kujua ni laini ipi imewekwa kwenye simu yako uliyo Image
Ibiwa ,namna ya kufanya ili uipate imei namba yako
1.hakikisha unakumbuka gmail yako na password yake ,download apllication inaitwa find device kutoka play store,baada ya ku install kwenye simu nyingine inatakiwa u sign in kama guest kwenye hio simu nyingine Image
Baada ya ku sign in itakuletea jina la simu yako na location ilipo na mara ya mwisho kuonekana online ,pia itakupa list ya vifaa ambavyo vimewahi au vinatumia gmail account yako Image
Read 4 tweets
Mar 28
🦅DALILI ZA CAMERA AMBAYO NI NON GENUINE(sio original)
⚡️⚡️
Kabla hujafanya maamuzi yeyote yanayohusiana na simu ,fanya kupitia page yetu hapa itakusanua na mambo mengi sana ambayo ulikua hujui

Namna ya kucheki camera ya iphone yako kama ni original au laa
Au mfano ulikua umevunja camera yako kwa bahati mbaya na ukaenda kwa fundi kubadilisha camera 📷

Dalili muhimu za camera ambayo sio original
-camera hai focus vizuri picha haziko sharp
-unapokua unatumia portrait mode subject inakua haipo in focus au inakua focused nusunusu
-app yeyote inayotumia camera kwenye simu yako unapoifungua ina quit unexpectedly
-baada ya kupiga picha ukizifungua zinaonekana black au blank

Hakikisha simu yako unaipandisha moaka ios ya 15.2 na kuendelea hii inatusaidia kutambia vifaa vingi sana kama vimebadilishwa
Read 4 tweets
Mar 27
🦅UKIBADILISHA SCREEN YA iphone YAKO HAKIKISHA FUNDI ANAIRUDISHA NA True Tone
⚡️⚡️
True Tone hii ni sensor muhimu sana inapatikana kuanzia iphone 8+ na kuendelea inafanya kazi ya kubadilisha mwanga wa simu kutokana na mazingira uliyopo ili kulinda afya ya macho yako 🙄
🧵 Image
Mara nyingi true tone hua haipo kwenye vioo vinavyouzwa madukani hua ipo kwenye kioo original kilichokuja na simu yenyewe,na ndio maana ikitokea umebadilishiwa kioo na fundi ambaye sio mwelewa true tone hua inatoka na hairudishi

Ukimaliza kubadilishiwa kioo chako nenda
Settings>>display and brightness >>True Tone ,kama haipo true tone mwambie fundi akupe kioo chako original uende kwa fundi ambaye anaweza ku copy screen data kutoka kioo original kuja kioo ulichowekewa kipya, kama kioo sio original hata ku copy screen data hua inakataa Image
Read 5 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(