Yethro
Mandhari
Yethro au Reueli (kwa Kiebrania יִתְרוֹ, Yitro, Yiṯrô; kwa Kiarabu شعيب, Shuayb) alikuwa mfugaji na kuhani katika rasi ya Sinai[1].
Ni maarufu kwa kumuoza binti yake Zipora kwa Musa, mkombozi wa Israeli kutoka Misri, na kumpa mkwe wake shauri zuri kuhusu uongozi.
Waislamu wanamheshimu kama nabii; anatajwa mara 11 katika Kurani.
Wadruzi wanamheshimu kama mwanzilishi wa dini yao.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Harris, Stephen L., Understanding the Bible. Palo Alto: Mayfield. 1985.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yethro kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |