Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Okuetsu Fureai Park

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Okuetsu Fureai Park

Uwanja wa Michezo wa Okuetsu Fureai Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1993 kwenye mji wa Ono, Fukui nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Ono FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Okuetsu Fureai Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.