Uwanja wa Michezo wa Matsue Athletics
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Matsue Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1981 kwenye mji wa Matsue, Shimane nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya FC Kagura Shimane na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 24,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Matsue Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |