Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Heiwadai Athletics

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Heiwadai Athletics

Uwanja wa Michezo wa Heiwadai Athletics ni uwanja wa riadha nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1948 kwenye mji wa Fukuoka city, Fukuoka nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Fukuoka Blux na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 25,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Heiwadai Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.