Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Egao Kenko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Egao Kenko

Uwanja wa Michezo wa Egao Kenko ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1998 kwenye mji wa Kumamoto city, Kumamoto nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Roasso Kumamoto na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 32,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Egao Kenko kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.