Nenda kwa yaliyomo

Thelathini na tatu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thelathini na tatu ni namba inayoandikwa 33 kwa tarakimu za kawaida na XXXIII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 32 na kutangulia 34.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 11.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thelathini na tatu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.