Milima ya Poroto
Mandhari
(Elekezwa kutoka Milima ya Uporoto)
Milima ya Poroto (Uporoto) iko kusini magharibi mwa Tanzania, kaskazini mwa Milima ya Kipengere.
Ni safu ya milima inayoelekea kusini mashariki kutoka bonde la mto Ruaha Mkuu kwa kufuata Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki.