Luc Montagnier
Mandhari
Luc Montagnier (amezaliwa 18 Agosti, 1932) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza virusi visababishavyo ukimwi. Mwaka wa 2008, pamoja na Harald zur Hausen na Françoise Barré-Sinoussi, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Luc Montagnier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |