Nenda kwa yaliyomo

Kilituanya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lituanya

Kilituanya (lietuvių kalba) ni lugha ya Lituanya

Kilituanya Kiswahili
Laba diena! Siku njema!i
Labas! Habari!
Kaip gyvuojate? Habari yako?
Taip Ndiyo
Ne Hapana
Koks jūsų vardas? Jina lako ni nani?
Iš kur jūs? Unatoka wapi?
Ar kalbate angliškai? Unazungumza kiingereza?
Ačiū. Asante
vienas, viena Moja
du, dvi Mbili
trys tatu
keturi, keturios nne
penki, penkios tano
šeši, šešios sita
septyni, septynios saba
aštuoni, aštuonios nane
devyni, devynios tisa
dešimt kumi

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]