Kibamun
Mandhari
Kibamun ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabamun. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kibamun imehesabiwa kuwa watu 215,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibamun iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibamun kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibamun Archived 1 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibamun katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kibamun
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibamun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |