Kaunti ya Elgeyo-Marakwet
Mandhari
Kaunti ya Elgeyo-Marakwet ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 454,480 katika eneo la km2 3,032, msongamano ukiwa hivyo wa watu 150 kwa kilometa mraba[1].
Wakimbiaji wengi mashuhuri hutoka Marakwet ni pamoja na Moses Kiptanui, Evans Rutto, Reuben Kosgei, Ezekiel Kemboi, Brigid Kosgei, Ishmael Kirui, Timothy Kitum, Sally Kirui, Abraham Chebii na Richard Chelimo. Shaif Shaheen aliyejulikana mwanzoni kama Stephen Cherono wa Qatar, Edna Kiplagat wa Uholanzi, Geoffrey Kamworor na Raymond Yator wanatoka upande wa Keiyo.
Makao makuu yako Iten.
Utawala
[hariri | hariri chanzo]Kaunti ya Elgeyo-Marakwet ina maeneo bunge yafuatayo[2]:
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3]
[hariri | hariri chanzo]- Keiyo North 99,176
- Keiyo South 120,750
- Marakwet East 97,041
- Marakwet West 137,513
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ http://countytrak.infotrakresearch.com/Elgeyo-Marakwet-county/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Elgeyo-Marakwet kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |