Hollywood, California
Mandhari
(Elekezwa kutoka Hollywood)
- Tazama pia Hollywood, Florida
Hollywood | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | California |
Wilaya | Los Angeles |
Tovuti: www.hollywoodchamber.net |
Hollywood ni mtaa wa mji wa Los Angeles katika jimbo la California la Marekani. Mtaa huu umekuwa maarufu duniani kama mahali pa kutengenezwa kwa filamu nyingi. Ni kitovu cha filamu Marekani penye makampuni mengi kama vile Universal Studios und Warner Brothers.
Waigizaji wengi wa filamu huishi katika mazingira ya Hollywood.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hollywood, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |