Hoki
Mandhari
(Elekezwa kutoka Hockey)
Hoki (kutoka Kiingereza "Hockey") ni mchezo wa timu unaotumia mpira mdogo unaotakiwa kupigwa kwa magongo maalumu.
Inaweza kuchezwa ugani au juu ya barafu.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Hoki kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |