Nenda kwa yaliyomo

Go-Murakami wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Go-Murakami

Go-Murakami (takriban 132829 Machi 1368) alikuwa mfalme mkuu wa 97 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Noriyoshi, na wazazi wake walikuwa Go-Daigo na Renshi. Mwaka wa 1339 alimfuata babake Go-Daigo, na kuwa mfalme hadi kifo chake 1368. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Chokei.

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Murakami wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.