Nenda kwa yaliyomo

Frida Maanum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maanum akiichezea Arsenal mwaka 2024.

Frida Leonhardsen Maanum (alizaliwa 16 Julai 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Norway anacheza kama kiungo au beki wa klabu ya Arsenal ya Ligi Kuu ya Wanawake(WSL) [1] na pia anacheza katika timu ya taifa ya Norway.[2][3]

  1. Bosher, Luke. "Hemp, Toone up for PFA young player award". The Athletic (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-01-30.
  2. "Frida Maanum – Norway – WEURO". UEFA.com.
  3. Sandberg, Fredrik Økstad; Ihle, Marthe (2017-06-28). "17-åring med i kvinnelandslagets EM-tropp". dagbladet.no (kwa Kinorwe). Iliwekwa mnamo 2023-01-30.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frida Maanum kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.