Nenda kwa yaliyomo

Filipo II wa Hispania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Filipo II mwaka 1554 alivyochorwa na Titian.

Filipo II wa Hispania (kwa Kihispania Felipe II (el Prudente) (yaani Mwenye busara); 21 Mei 152713 Septemba 1598), alikuwa mfalme wa Hispania (1556–1598), Ureno (1581–1598), Napoli na Sicily (kuanzia 1554), na mume wa malkia Maria I wa Uingereza (1554–1558).[1] Alikuwa pia mtawala wa Milano[2] na kuanzia mwaka 1555 wa wilaya kumi na saba za Netherlands.

Dola lake lilienea katika mabara yote yaliyojulikana na Wazungu, na mpaka leo nchi ya Ufilipino inaitwa kwa jina lake (Visiwa vya Filipo). Chini yake, Hispania ilifikia kilele cha ustawi wake.

  1. Geoffrey Parker. The Grand Strategy of Philip II, (2000)
  2. Garret Mattingly. The Armada p. 22, p. 66 ISBN 0-395-08366-4

Vyanzo na marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  • Henry Kamen, Philip of Spain (New Haven, Yale University Press, 1999) – the standard modern biographical source.
  • Glyn Redworth, "Philip (1527–1598)", Oxford Dictionary of National Biography, online edition, May 2011 Retrieved 25 Aug 2011
  • Pettegree, Andrew (2002). Europe in the Sixteenth Century. Oxford: Blackwell. ISBN 0-631-20704-X..
  • Benton Rain Patterson, With the Heart of a King: Elizabeth I of England, Philip II of Spain & the Fight for a Nation's Soul & Crown (2007)
  • Rodriguez-Salgado, M.J. "The Court of Philip II of Spain". In Princes Patronage and the Nobility: The Court at the Beginning of the Modern Age, cc. 1450–1650. Edited by Ronald G. Asch and Adolf M. Birke. New York: Oxford University Press, 1991. ISBN 0-19-920502-7.
  • Geoffrey Parker, Imprudent King: A New Life of Philip II (2014).
  • Geoffrey Parker, The Grand Strategy of Philip II (New Haven, 1998).
  • Markus Reinbold, Jenseits der Konfession. Die frühe Frankreichpolitik Philipps II. von Spanien 1559–1571 (Stuttgart, Thorbecke, 2005) (Beihefte der Francia, 61).
  • Harry Kelsey, Philip of Spain, King of England: the forgotten sovereign (London, I.B. Tauris, 2011).

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Filipo II wa Hispania kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.