Chuo Kikuu cha Abomey-Calavi
Mandhari
Chuo Kikuu cha Abomey-Calavi ni chuo cha umma katika nchi ya Afrika magharibi ya Benin. Chuo kikuu kiko katika mji wa Abomey-Calavi kusini mwa nchi.Shule hiyo inaundwa na taasisi 19 na vyuo vikuu sita. Chuo kikuu kina idadi ya mipango ya shahada ya kwanza na ya uzamili inayotolewa katika maeneo mbalimbali katika eneo hilo.
Historia
Chuo kikuu kilianzishwa mwaka wa 1970 kama chuo kikuu cha Dahomey. [1][2] Mnamo 1975 jina lilibadilishwa kuwa chuo kikuu cha Bénin. Mnamo 2001, chuo kikuu kilichukua jina lake la sasa. [3]Waliojiandikisha katika chuo hiko walikuwa zaidi ya 16,000 mwaka wa 1999, wakiwemo zaidi ya wanawake 3,300.
Marejesho
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://en.wikipedia.org/wiki/University_of_Abomey-Calavi#cite_note-1
- ↑ madou Diallo, Jérôme Aloko-N'Guessan et Kokou Henri Motcho, Villes et organisation de l'espace en Afrique, KARTHALA Éditions, France, 2010, p.109