Utegili
Utegili (plasma) ni neno la kumaanisha
- Utegili (damu) ni yale majimaji yanayobaki kwenye damu baada ya kuondolewa kwa seli za damu kwenye damu ya vetebrata
- Utegili (seli) ni majimaji ndani ya seli za mwili
- Utegili (fizikia) ni hali ya mada kama gesi ya joto sana inaachana na elektroni