T. S. Eliot
Thomas Stearns Eliot (26 Septemba 1888 – 4 Januari 1965) alikuwa mwandishi kutoka nchi za Marekani na Uingereza. Alizaliwa Marekani lakini alikata uraia wa Uingereza mwaka wa 1927. Hasa aliandika mashairi. Shairi lake "Nchi Kame" (kwa Kiingereza The Waste Land) lilitolewa mwaka wa 1922. Mwaka wa 1948 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu T. S. Eliot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |