Skandi
Skandi ni elementi na metali yenye namba atomia 21 na alama Sc katika mfumo radidia wa elementi. Ni metali mpito haba yeye rangi nyeupe-kimajivu inayomenyuka haraka na dutu nyingine.
Skandi | |
---|---|
Skandi katika testitubu
| |
Jina la Elementi | Skandi |
Alama | Sc |
Namba atomia | 21 |
Mfululizo safu | Metali |
Uzani atomia | 44.9559 |
Valensi | 2, 8, 9, 2 |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 1814 K (1541 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 3109 K (2836 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 5 · 10-4 % |
Hali maada | mango |
Kutokana na uhaba wake hakuna matumizi mengi yaliyopo ni kama kiungo katika taa za kung'arisha sana. Takriban kg 80 zatumiwa duniani kila mwaka kwa kusudi hii.
[[:Category:{{{1}}}|{{{1}}}]]