Seleni ni elementi simetali yenye namba atomia 34 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 78.96. Alama yake ni Se. Kwenye hali sanifu ni imara.

Seleni
Rangi mbalimbali za Seleni
Rangi mbalimbali za Seleni
Jina la Elementi Seleni
Alama Se
Namba atomia 34
Mfululizo safu Simetali
Uzani atomia 78.96
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 494 K (221 °C)
Kiwango cha kuchemka 957.8 K (684.6 °C)
Asilimia za ganda la dunia 8 · 10−5 %
Hali maada imara

Ni haba sana duniani lakini imo ndani ya seli za mada hai.

Hupatikana kwa maumbo mbalimbali yenye tabia tofauti yanayotofautiana kwa rangi.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seleni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.