Platini
Platini ni elementi. Namba atomia yake ni 78, uzani atomia ni 195.084. Katika mazingira ya kawaida ni metali adimu ngumu yenye rangi nyeupe ya kijivu. Alama yake ni Pt.
Platini | |
---|---|
Jina la Elementi | Platini |
Alama | Pt |
Namba atomia | 78 |
Uzani atomia | 195,084 u |
Valensi | 2, 8, 18, 32, 17, 1 |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 2045 K (1772 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 4100 K (3827 °C) |
Platini huyeyuka kwa 2041.4 K (1768.3 °C) na kuchemka kwa 4098 K (3825 °C).
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Platini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |