Papa Stefano IX
Papa Stefano IX, O.S.B. (takriban 1020 – 29 Machi 1058) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2/3 Agosti 1057 hadi kifo chake[1]. Alitokea Lorraine, leo nchini Ufaransa[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Frederic de Lorraine.
Alimfuata Papa Vikta II akafuatwa na Papa Nikolasi II.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |