Otto Hahn
Otto Hahn (8 Machi 1879 – 28 Julai 1968) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa kugundua mpasuko wa kinyuklia. Mwaka wa 1944 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Otto Hahn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |