Ngoma
Neno ngoma lina maana mbalimbali:
- Ala ya muziki inayotumika sana barani Afrika
- Muziki unaochezwa kwa kupiga ala hiyo
- Muziki wa aina yoyote
- Kucheza na muziki wa ngoma au wa aina yoyote
- Katika lugha ya mitaani, ngoma inaweza kumaanisha virusi vya UKIMWI au Ukimwi wenyewe kutokana na methali ya Kiswahili isemayo, Ngoma ikivuma sana, mwishowe hupasuka
- Ngoma (Ukerewe), kata ya wilaya ya Ukerewe kwenye mkoa wa Mwanza (Tanzania).
- Ngoma (Sengerema), kata ya Wilaya ya Sengerema kwenye mkoa huohuo
- Wilaya ya Ngoma katika mkoa wa Mashariki (Rwanda)
Viungo vya nje
hariri- Music Archived 19 Julai 2006 at the Wayback Machine.