Mehmed II
Mehmed II (pia: Mehmed Fatih; 1 Aprili 1430 – 3 Mei 1481) alikuwa Sultani wa Milki ya Osmani. Alijulikana hasa kwa sababu alivamia mji wa Konstantinopoli mwaka 1453 akamaliza milki ya Bizanti.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mehmed II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |