Maritza Rodriguez (amezaliwa tar. 1 Septemba 1975, Colombia) ni muigizaji wa filamu na tamthlia kutoka nchini Colombia.
Anafahamika zaidi kama Mercedes Riverol katika tamthilia ya La Revancha ya mwaka 2000, alicheza kama mtoto wa mzee Oscar Riverol (Henry Zakka). Maritza pia ameigiza tamthilia nyingi tu za Mexico, Venezuela-USA, Colombia n.k.

Maritza Rodriguez (2014)

Muhtasari wa Tamthlia Alizoigiza

hariri
  1. Amor Sin Condiciones - 2006, Mexico
  2. Olvidarte Jamás - 2006, Venezuela-USA
  3. Angel Rebelde - 2004, USA-Venezuela
  4. Milagros de Amor - 2002, Colombia
  5. Amantes del Desierto - 2001, Colombia
  6. La Revancha - 2000, USA-Venezuela
  7. La Mujer en el Espejo - 1997, Colombia

Viungo vya Nje

hariri

Tovuti Rasmi ya Maritza Rodriguez Archived 15 Mei 2010 at the Wayback Machine.

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maritza Rodriguez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.