Knut Hamsun
Knut Hamsun (4 Agosti 1859 – 19 Februari 1952) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Norway. Hasa aliandika mashairi na riwaya. Mwaka wa 1920 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Knut Hamsun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |