Kiisubu ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waisubu. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiisubu imehesabiwa kuwa watu 800 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiisubu iko katika kundi la A20.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiisubu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.