Kifulfulde-Adamawa
(Elekezwa kutoka Kifulfulde-Adamawa (lugha))
Kifulfulde-Adamawa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun, Chad na Sudan inayozungumzwa na Wafulfulde. Lugha hiyo ni lugha mojawapo ya lugha za Kifulfulde. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kifulfulde-Adamawa imehesabiwa kuwa watu 669,000 nchini Kamerun. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kifulfulde-Adamawa imehesabiwa kuwa watu 90,000 nchini Sudan, na wachache wengine wako nchini Sudan Kusini. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kifulfulde-Adamawa imehesabiwa kuwa watu 148,000 nchini Chad. Pia kuna wasemaji nchini Nigeria na Marekani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifulfulde-Adamawa iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kifulfulde-Adamawa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kifulfulde-Adamawa Archived 24 Desemba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kifulfulde-Adamawa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/fub
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifulfulde-Adamawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |