Kifang-Wum
(Elekezwa kutoka Kifang-Wum (lugha))
Kifang-Wum ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wafang-Wum. Isichanganywe na Kifang kizungumzwacho nchini Kamerun pia. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kifang-Wum imehesabiwa kuwa watu 2400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifang-Wum iko katika kundi la Kibeboidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kifang-Wum kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kifang-Wum Archived 8 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kifang-Wum katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/fak
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifang-Wum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |