Kenny Bednarek
Kenneth Bednarek (alizaliwa 14 Oktoba 1998) ni mwanariadha wa Marekani kutoka Rice Lake, Wisconsin.
Tarehe 4 Agosti 2021, alishinda medali ya fedha kwa mbio za mita 200 katika mchezo wa Olimpiki msimu wa joto jijini Tokyo 2020[1]. Rekodi yake bora alitumia dakika 19.68. Mnamo 2 Agosti 2021 alitumia muda wa dakika 20.01 katika mchuano robo wa mita 200 katika Olimpiki ya msimu wa joto jijini Tokyo[2]. Alifanikiwa kuingia mchuano wa mwisho kwa mda wa dakika 19.83[3] alioupata.
Marejeo
hariri- ↑ IOC. "Tokyo 2020 Men's 200m Results - Olympic athletics". Olympics.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-27.
- ↑ Justus Clevel. "Kenny Bednarek qualifies for Olympic finals in 200 meter sprint". https://www.weau.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-27.
{{cite web}}
: External link in
(help)|work=
- ↑ Justus Clevel. "Kenny Bednarek qualifies for Olympic finals in 200 meter sprint". https://www.weau.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-27.
{{cite web}}
: External link in
(help)|work=