Hesse
Hesse (Kijerumani:Hessen) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 6,1 kwenye eneo la 21 114 km². Mji mkuu ni Wiesbaden. Waziri mkuu ni Volker Bouffier (CDU).
Jiografia
haririHesse imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Rhine Kaskazini - Westfalia, Saksonia ya chini, Thuringia, Rhine-Palatino, Baden-Württemberg na Bavaria.
Miji mikubwa ni pamoja na Frankfurt am Main, Wiesbaden, Kassel, Darmstadt, Offenbach, Marburg, Fulda, Gießen, Wetzlar, Hanau na Bad Homburg. (Angalia Orodha ya miji ya Hesse.)
Picha za Hesse
haririTovuti za Nje
hariri- Hesse - Official Website (also in English) Archived 2002-11-12 at the Library of Congress Web Archives
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hesse kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Baden-Württemberg • Bavaria (Bayern) • Berlin • Brandenburg • Bremen • Hamburg • Hesse (Hessen) • Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern) • Saksonia Chini (Niedersachsen) • Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen) • Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz) • Saar (Saarland) • Saksonia (Sachsen) • Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt) • Schleswig-Holstein • Thuringia (Thüringen) |