Fransi
Fransi ni elementi na metali alikali yenye namba atomia 87 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 223. Alama yake ni Fr. Fransi ni elementi nururifu sana.
Fransi (Francium) | |
---|---|
Tabia ta Fransi
| |
Jina la Elementi | Fransi (Francium) |
Alama | Fr |
Namba atomia | 87 |
Mfululizo safu | Metali alikali |
Uzani atomia | 223 |
Valensi | 2, 8, 18, 32, 18, 8, 1 |
Densiti | 1.87 |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 300 K (27 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 950K (677 °C) |
Hali maada | mango |
Tabia
haririFransi ni elementi haba mno kwa sababu ya unururifu wake. Kati ya elementi zote zinazotokea kiasili ni haba kabisa isipokuwa Astatini. Nusumaisha ya isotopi yenye maisha marefu ni dakika 21.8 pekee.
Fransi hapatikani kama elementi ya kudumu lakini hujitokeza mara kwa mara wakati wa mbunguo wa Aktini.
Matumizi
haririHaina matumizi nje ya utafiti wa kisayansi kutokana maisha mafupi na uhaba.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fransi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fransi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |