Anna Rita Del Piano
Anna Rita Del Piano (Anna Rita Viapiano amezaliwa Cassano delle Murge, 26 Julai 1966) ni mwigizaji na mwanamitindo kutoka nchini Italia.
Anna Rita Del Piano | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Anna Rita Viapiano. |
Alizaliwa | 26 Julai 1966, Cassano delle Murge, Apulia, Italia |