6 Desemba
tarehe
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 6 Desemba ni siku ya 340 ya mwaka (ya 341 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 25.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1920 - Dave Brubeck, mwanamuziki wa Marekani
- 1920 - George Porter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1967
- 1929 - King Moody, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 343 - Mtakatifu Nikolasi wa Myra, askofu kutoka Uturuki
- 1352 - Papa Klementi VI
- 1613 - Anton Praetorius, mwanateolojia kutoka Ujerumani
- 1961 - Frantz Fanon, mwandishi wa Kifaransa kutoka Martinique
- 1995 - James Reston, mwandishi wa habari kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Nikolasi wa Myra, Asela wa Roma, Dionisya wa Vita na wenzake, Obisi, Yosefu Nguyen Duy Khang, Maria wa Mlima Karmeli n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 6 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |